LIGI KUU BARA RATIBA HII HAPA MEI 12 2025

MEI 12 2025 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo ikiwa ni mzunguko wa pili kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Tanzania Prisons ambayo ipo nafasi ya 14 kwenye msimamo na pointi 27 baada ya kucheza mechi 27 itawakaribisha Coastal Union ya Tanga ambayo ipo nafasi ya 8. Coastal Union imecheza mechi 27…

Read More

SIMBA YATANGAZA VIINGILIO VYA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA NA KUZINDUA HAMASA KWA MASHABIKI

“Tunataka kufanya fainali yenye hadhi ya juu mno, na hayo ni mambo ambayo sisi tunayamudu. Ndugu zangu fainali ndio hatua ya juu kabisa ya mashindano. Kuelekea katika mchezo huu tunatangaza viingilio na tutakaporudi kutoka Morocco tutazindua hamasa. Napenda kuwasihi Wanasimba kununua tiketi mapema. Mwakani tutacheza tena fainali lakini haitakuwa kama hii ambayo tumeisubiri kwa miaka…

Read More