
VIDEO: JKT TANZANIA HESABU ZIKIFANYA KAZI SAWASAWA HAO KIMATAIFA
UONGOZI wa JKT Tanzania umeweka wazi kuwa ikiwa hesabu zitafanya kazi sawasawa wananafasi kubwa kucheza mashindano ya kimataifa kwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi ya nusu fainali CRDB Federation Cup dhidi ya Yanga SC.