
NGOMA AFICHUA SIRI YA BAO LA USHINDI
FABRINCE Ngoma kiungo mshambuliaji wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kuwa siri ya kufunga bao la ushindi dhidi ya JKT Tanzania ni kutimiza majukumu ya timu kwenye msako wa pointi tatu. Mei 2 2025 Simba ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mashujaa FC ambapo walipata ushindi wa mabao 2-1 na…