KIKOSI CHA SIMBA HATUA YA NUSU FAINALI CAF

HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza mchezo dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa ni nusu fainali ya kwanza. Kikosi cha kwanza langoni yupo Moussa Camara, wengine eneo la ulinzi ni Chamou, Hamza Jr, Mohamed Hussen, Shomari Kapombe, kwa viungo ni Fabrice Ngoma. Jean…

Read More

AZIZ KI, PACOME OUT YANGA

KUELEKEA katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga, kiungo Aziz Ki kuna hatihati akaukosa mchezo huo Aprili 21 2025 kwa kuwa hayupo fiti Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa. Mbali na Aziz Ki, Pacome naye hajarejea katika ubora huku Musonda Kennedy naye akibainisha kuwa anahisi maumivu kwa mujibu wa Kocha Mkuu…

Read More

VIDEO: UWANJA WA MKAPA KUFANYIWA MABORESHO MAKUBWA

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi kuwa wadau wanapaswa kujikita kwenye njia za kitaalamu kwa namna ya kuendesha sanaa ambapo Serikali inatengeneza mazingira kwa ajili ya kuboresha mazingira ili wafanye uwekezaji kwenye kazi zao kushindana kimataifa. Kuhusu Uwanja wa Mkapa, Msigwa ameweka wazi kuwa watafanya maboresho makubwa baada ya CHAN na kwa sasa…

Read More