ALIYEMTUNGUA DIARRA AFICHUA JAMBO, MBUZI AICHAMBUA

NYOTA wa Stand United, Msenda Senda aliyepachika bao pekee kwa timu hiyo dakika ya 50 ameweka wazi kuwa walikuwa kwenye mchezo mgumu Aprili 15 2025 dhidi ya Yanga na walipambana kutafuta matokeo jambo ambalo halikuwa upande wake na mwisho wakapoteza. Mbali na mchezaji huyo, Issa Mbuzi ameweka wazi kuwa ni madaraja tofauti yamekutana.