FOUNTAIN GATE V YANGA REKODI ZAO

WABABE wawili ndani ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika, Fountain Gate ambayo Ofisa Habari wao ni Issa Mbuzi na Yanga Ofisa Habari ni Ali Kamwe wanatarajia kukutana Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Aprili 21 2025 kwenye mchezo wa ligi ambao ni mzunguko wa pili. Rekodi zinaonyesha kwamba Fountain Gate ni namba mbili kwa timu ambazo…

Read More

ALIYEMTUNGUA DIARRA AFICHUA JAMBO, MBUZI AICHAMBUA

NYOTA wa Stand United, Msenda Senda aliyepachika bao pekee kwa timu hiyo dakika ya 50 ameweka wazi kuwa walikuwa kwenye mchezo mgumu Aprili 15 2025 dhidi ya Yanga na walipambana kutafuta matokeo jambo ambalo halikuwa upande wake na mwisho wakapoteza. Mbali na mchezaji huyo, Issa Mbuzi ameweka wazi kuwa ni madaraja tofauti yamekutana.

Read More

SINGIDA BLACK STARS HAWACHEKI NA YEYOTE

BAADA ya Singida Black Stars kutinga hatua ya nusu fainali uongozi umebainisha kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ili watinge hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga, Aprili 15 2025 walikata tiketi yakutiga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi…

Read More

YANGA WAANDIKA REKODI WAKITINGA NUSU FAINALI

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wameandika rekodi yao kuwa timu iliyopata ushindi mkubwa ndani ya dakika 90 katika msako wa hatua ya kutinga nusu fainali. Yanga Aprili 15 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Yanga 8-1 Stand United, inatinga hatua ya…

Read More