SIMBA yaingilia show ya Yanga ambayo inaongoza Ligi Kuu Bara namba nne kwa ubora Afrika ikiwa na pointi 67 baada ya kucheza mechi 25 msimu wa 2024/25, Aprili 10 2025 ilisepa na pointi tatu mazima mbele ya Azam FC kwenye mchezo uiochezwa Uwanja wa Azam Complex kwa ushindi wa mabao 2-1.