LEO NI LEO! MECHI KALI NA ODDS TAMU KAZI NI KWAKO!

Bashiri na Meridianbet mechi za leo ambapo tayari wanakuhakikishia pesa endapo ushindi wako utatokea. Je beti yako unaiweka wapi kwa hizi timu za leo?

SERIE A pia kuna mtanange wa maana Udinese Calcio atamleta kwake AC Milan ambao wapo nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 11. Milan wametoka kutoa sare mechi yao iliyopita, huku wenyeji wao wakipoteza. Pointi 3 ni muhimu kwa kila timu siku ya leo huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Milan kwa ODDS ya 2.00 kwa 3.85. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tandika jamvi hapa.

LIGUE 1 kule Ufaransa ni moto wa kuotea mbali RC Lens atamenyana dhidi ya Stade Reims ambao wanashikilia nafasi ya 16 yaani nafasi ya 3 kutoka mwisho, wakati wenyeji wao wapo nafasi ya 9. Tofauti yao ni pointi 16. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS 1.63 kwa 5.60. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Jisajili hapa.

Wikendi ndiyo hiyo inaanza ambapo pesa nyingi kutolewa na Meridianbet. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Pia SUPER LIG kule Uturuki kuna mechi pia Galatasaray atakuwa ugenini kusaka pointi 3 za kuzidi kumuweka kileleni dhidi ya Samsunspor ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Yaani ni vita ya kinara wa ligi dhidi ya nafasi ya tatu. 4.90 kwa 1.70 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.

Tengeneza pesa mechi ya Ujerumani, BUNDESLIGA leo ambapo kutakuwa na mchezo mmoja Wolfsburg atamleta kwake RB Leipzig ambapo tofauti yao ni pointi 12. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi RB alipigika vibaya mno akiwa nyumbani. Je leo hii kwa ODDS 2.80 kwa 2.43 nani kuondoka na ushindi?. Bashiri hapa.

Pia kule Hispania LALIGA kuna mechi moja ya pesa kati ya Valencia vs Sevilla ambao mechi iliyopita wametoka kupoteza huku wenyeji wao wakishinda. Nafasi za kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet amepewa 2.35 kwa 3.45. Jisajili hapa.

CHAMPIONSHIP kule Uingereza nayo inatarajiwa kuendelea ambapo Burnley ataumana dhidi ya Norwich City ambao wana pointi 53 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya pili huku ushindi huu wa leo utampeleka hadi nafasi ya kwanza. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, mwenyeji alishinda. Je mgeni anaweza kulipa kisasi leo ugenini?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.70 kwa 5.60.