NYOTA wa Simba, Kibu Dennis, Ellie Mpanzu, Jean Ahoua, Fabrince Ngoma siku moja kabla ya kuwakabili Waarabu wa Misri, Al Masry walipigishwa matizi na benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids na mwisho siku ya mchezo Aprili 9 2025 walikata tiketi kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa penati 4-1, dakika 90 ilikuwa Simba 2-0 Al Masry katika mchezo wa ugenini ilikuwa Al Masry 2-0 Simba.