VIDEO: JEMBE KUHUSU SIMBA KIMATAIFA/ CAMARA UWEZO

LEGEND kwenye masuala ya Habari za Michezo Tanzania katika anga la kitaifa na kimataifa, Saleh Ally amefungukia ishu ya Simba kwenye anga la kimataifa na uwezo wa wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Moussa Camara ambaye ni kipa namba moja akigusia na suala la kutoa mialiko kwa watu mbalimbali.