AUCHO OUT YANGA,KUWAKOSA AZAM FC

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Khalid Aucho atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo ni Aprili 10 unatarajiwa kuchezwa ikiwa ni mzunguko wa pili kwenye msako wa pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao…

Read More

NI SIKU YA CHAMPIONS LEAGUE YA MOTO MOTO LEO!

Ikiwa leo ni siku nzuri kabisa ya Jumanne, Ligi ya mabingwa barani Ulaya inaendelea huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua mpunga wa maana mbele ya Mabingwa wa odds kubwa Tanzania Meridianbet. Tandika jamvi na ushinde hapa. Pale Allianz Arena kati ya Bayern Munich vs Inter Milan huku timu hizi zote zikiwa ndiyo vinara kwenye…

Read More

AZAM FC KUWAKABILI YANGA WAKITOKA KUFUNGWA

BAADA ya mchezo wao uliopita wakiwa ugeneni kupoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Liti ukisoma Singida Black Stars 1-0 Azam FC, kituo kinachofuata ni dhidi ya Yanga. Matajiri wa Dar kwenye mechi mbili ugenini walipata ushindi mchezo mmoja na kuambulia kichapo mchezo mmoja ambapo ushindi ilikuwa Uwanja wa Sokoine, baada ya dakika 90 ubao…

Read More

YANGA WASEPA NA TUZO ZAO MAZIMA

WASHINDI wa tuzo ndani ya Ligi Kuu Bara Tanzania ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kwa Machi wamesepa na tuzo zao mazima baada ya kukabidhiwa Aprili 7 2025 Uwanja wa KMC Complex. Tuzo hizo walikabidhiwa na wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC benki ya NBC ilikuwa ni kwa Prince Dube ambaye ni mshambuliaji…

Read More

ZUNGUSHA, SHINDA NA JISHINDIE ZAWADI KUBWA KUPITIA MASHINDANO YA SMARTSOFT KWENYE MERIDIANBET!

Kampuni maarufu ya michezo ya kubashiri na burudani ya mtandaoni, Meridianbet, imezindua rasmi kampeni ya kusisimua ya mwezi huu: “Mashindano ya SmartSoft: Zungusha na Ushinde!” Ikiwa ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet kutoa burudani ya kipekee, mashindano haya yanafungua fursa ya kipekee kwa wateja wote kujishindia zawadi kubwa kwa kucheza michezo ya SmartSoft. Jinsi Mashindano…

Read More