AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa watapambana na wapinzani wao Al Masry kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa, Aprili 9 2025 na malengo ni kuona wanatinga hatua ya robo fainali, Kombe la Shirikisho Afrika mashabiki wajitokeze kwa wingi.