HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika inaendelea mzunguko wa pili ambapo kuna wababe watakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90 za kazi. Ni JKT Tanzania iliyo nafasi ya 6 kwenye msimamo baada ya mechi 23 huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 18 na ukuta kuruhusu mabao…

Read More

URAHISI WA MAISHA NI KUCHEZA BLACKJACK LIVE

Mchezo wa Blackjack Live        Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino Mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa Karata bila shaka watakutajia na huu mchezo kuwa ni pendwa Zaidi kwa wengi. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwa kutumia kibunda chenye…

Read More

SIMBA HESABU ZAKE KWA MKAPA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa pili wa robo fainali dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza iliyochezwa Aprili 2 2025 Uwanja wa Suez Canal…

Read More

PACOME ANA BALAA HUYO

PACOME Zouzoua kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kila mechi ni ngumu wakiwa uwanjani wanapambana kufanya vizuri kupata matokeo ndani ya uwanja nyota huyo balaa lake sio dogo kutokana na kuwa katika ubora kwenye mechi anazocheza uwanjani. Aprili 2 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulisoma Tabora United 0-3…

Read More

BLACKJACK 2 USHINDI KWA KARATA 52!!

Blackjack ni mchezo wa kadi/karata wenye kuvutia sana, na mtoa huduma Playtech anatuletea blackjack Live ya PTR Blackjack 2 kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni, ambao utakupendeza. Katika sehemu inayofuata ya nakala hii, tutaelezea sheria na jinsi ya kucheza mchezo huu wa kuvutia. Kabla hatujaelezea mchezo wa PTR Blackjack 2, hebu tuzungumzie kidogo kuhusu mchezo wa…

Read More