
SIMBA HESABU ZAKE KWA MKAPA KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa pili wa robo fainali dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza iliyochezwa Aprili 2 2025 Uwanja wa Suez Canal…