AL AHLY NA PYRAMIDS ZIMEANZA HATUA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA KWA USHINDI

Miamba ya Nchini Misri, Al Ahly na Pyramids zimeanza hatua robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi huku Maharamia wa Afrika Kusini, Orlando Pirates wakiilaza MC Alger ya Algeria ugenini.

FT Pyramids πŸ‡ͺπŸ‡¬ 4-1 πŸ‡²πŸ‡¦ FAR Rabat
⚽ 02’ Mayele
⚽ 12’ Mayele
⚽ 39’ Adel
⚽ 67’ Adel
⚽ 45’ Hadraf

FT Al Ahly πŸ‡ͺπŸ‡¬ 1-0 πŸ‡ΈπŸ‡© Al-Hilal Omdurman
⚽ 12’ Hany

FT MC Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ 0-1 πŸ‡ΏπŸ‡¦ Orlando Pirates
⚽ 67’ Nkota