SIMBA YAPOTEZA UGENINI ANGA LA KIMATAIFA
ROBO fainali ya kwanza Al Masry 2-0 Simba ukiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali, Uwanja wa Suez Canal. Abderrahim Deghmoum alianza kupachika bao la uongozi dakika ya 15 kwa shuti kali akiwa nje ya 18 likimshinda Moussa Camara na kamba ya pili ni mali ya John Okeyo dakika ya…