
ISHU YA MKALI WA PASI BONGO FEISAL KUTAJWA SIMBA BOSI AFUNGUKA
FEISAL Salum, Fei Toto kiungo wa Azam FC ambaye ni mkali kwenye pasi za mwisho za mabao ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora jina lake limekuwa likitajwa kuwa katika rada za Simba ambao wanahitaji saini yake. Kiungo huyo aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Yanga ambapo kwa sasa amekuwa ni…