Michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA CUP) imeendelea tena leo Machi 28, 2025 kwa mchezo mmoja ambapo Juma KASEJA ameiongoza Kagera Sugar kufuzu kwenda hatua ya robo fainali baada ya kuitupa nje Tabora United kwa mikwaju ya penalti 5-2.
FT: Tabora United 1-1 Kagera Sugar
02’ Andy Bikoko
27’ Joseph Mahundi
MATUTA 3-5
TABORA UNITED
Ondongo
Chikola
Chigozi
Seseme
KAGERA SUGAR FC
Onditi
Mahundi
Luhende
Ferouz
Lwasa
Juma Kaseja akiwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar:
Kagera 2-1 Pamba (NBC PL)
Kagera 3-0 Namungo (CRDB CC)
Tabora 1-1 Kagera (Pen 3-5 – CRDB CC)