CAF YAURUHUSU UWANJA WA BENJAMIN MKAPA KUTUMIKA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeuruhusu uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika kwa michezo inayosimamiwa na Shirikisho hilo baada ya Ukaguzi uliofanywa na Wakaguzi wa CAF mnamo Machi 20, 2025. Taarifa ya leo Machi 28, 2025 iliyotolewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imeeleza kuwa CAF inaendelea kufuatilia kwa karibu maboresho yanayoendelea…

Read More

KASEJA AIPELEKA KAGERA ROBO FAINALI YA FA

Michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA CUP) imeendelea tena leo Machi 28, 2025 kwa mchezo mmoja ambapo Juma KASEJA ameiongoza Kagera Sugar kufuzu kwenda hatua ya robo fainali baada ya kuitupa nje Tabora United kwa mikwaju ya penalti 5-2. FT: Tabora United 1-1 Kagera Sugar ⚽ 02’ Andy Bikoko ⚽ 27’ Joseph Mahundi…

Read More

MECHI KALI ZINAENDELEA LEO BUNDESLIGA NA PRIMEIRA LIGA, MCHONGO UPO HAPA

Mechi kali zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Uingereza, CHAMPIONSHIP kitawaka vilivyo Sheffield United atakipiga dhidi ya Coventry City ambao mechi yao iliyopita wakishinda halikadhalika kwa mwenyeji naye aliondoka na ushindi. Mara ya mwisho kukutana…

Read More

SIMBA, YANGA ZAGONGANA KWA MSHAMBULIAJI MGHANA

WATANI wa jadi Simba na Yanga kwenye hesabu za kuboresha eneo la ushambuliaji inatajwa kuwa wamegongana kuwania saini ya raia wa Ghana, Jonathan Sowa ambaye yupo ndani ya kikosi cha Singida Black Stars. Nyota huyo ambaye ni ingizo jipya ndani ya Singida Black Stars amekuwa imara kwenye eneo lakutupia mabao ambapo kwenye mechi ambazo amecheza…

Read More

BEKI WA KAZI BACCA NA REKODI ZAKE YANGA, MIAKA 10

KUNA nyakati marafiki walikosa chakula na mfukoni hawakuwa na hata mia mbovu, ilikuwa vita ngumu kwao kupita kwa wakati huo ila waliibuka mashujaa bila kutarajia katika nyakati hizo kutokana na zile stori ambazo walianza kupiga. Ghafla waliacha kuzungumzia kuhusu bili waliyoacha kwa mama Amina pamoja na yale madeni ambayo yapo juu yao kwenye lile daftari…

Read More