
MOROCCO YAFUZU KOMBE LA DUNIA 2026,YAICHAPA TAIFA STARS MABAO 2-0
RABAT-Timu ya Morocco imefanikiwa kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2026 baada ya kuifunga Taifa Stars mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa nchini humo. Ni katika mtanange uliopigwa usiku wa kuamkia Machi 26,2025 katika dimba la Honor mjini Oujda, Morocco. Mabao ya Morocco katika Kundi E yamefungwa na Nayef Aguerd dakika ya 51′ huku Brahim Abdelkader…