TUZUNGUMZE KUHUSU MUZIKI, YUPI NI MTAYARISHAJI MKALI?

KUNA kazi nyingi kali za muziki ambazo zinatengenezwa na watayarishaji kila leo, wapo ambao bado wapo kwenye game Bongo na wapo ambao walitangulia mbele za haki, ila kazi zao bado zinaishi hapa kuna orodha ya watayarishaji wa muziki, tuambie yupi ni mkali kwako na ngoma ipi ambayo unaikubali kinomanoma?
1. P Funk
2. Master Jay
3. Miika Mwamba
4. Bonny Love
5. Prof Ludigo
6. Bizzman
7. Enrico
8. Marco Chali
9. Hermy B
10. Lamar
11. Man Walter
12. Alain Mapigo
13. Said Comorean
14. Ambrose Dunga
15. Pancho Latino
16. J Ryder
17. Mr T Touch
20. Kameta
21. Mona Gangster
22. Shaddy Clever
23. Complex
24. Manecky
25. Abbah
26. KGT
27. Bob Junior
28. Mensen Selekta
29. Duke
30. S2Kezzy
31. Laizer
32. Abby Daddy
33. Bonga
34. Emma The Boy
35. Nahreel
36. Mangustino
37. Kidbway
38. Shirko
39. Fundi Samuel
40. Ali Baucha.
41. Tud Thomas