WANANCHI WATOA KIKOSI KUMKABILI MNYAMA

WANANCHI Yanga licha ya taarifa kueleza kuwa hakutakuwa na mchezo  dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025 wamefika uwanjani na kutoa kikosi kazi kitakachoikabili Simba kusaka pointi tatu muhimu. Kwenye kikosi hicho Aziz Ki ameanzia benchi na kiungo Clatous Chama huku ingizo jipya Ikangalombo naye akiwa benchi. Kikosi chenyewe kipo namna hii:- Djigui…

Read More

YANGA NDANI YA UWANJA WA MKAPA

YANGA ndani ya Uwanja wa Mkapa, Machi 8 2025 kwa ajili ya mchezo wa Kariakoo Dabi ambao umeahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB). Licha ya taarifa kutolewa na TPLB kuhusu kuahirisha mchezo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambao ni Kariakoo Dabi, wenyeji Yanga wamewasili Uwanja wa Mkapa. Mapema Yanga kupitia…

Read More

JUMAMOSI YA LEO NI SIKU YA WEWE KUONDOKA NA TABASAMU

Jumamosi ya leo ni siku ya wewe kuondoka na tabasamu kubwa kabisa ndani ya Meridianbet kwani kuanzia pale EPL, LALIGA, SERIE A na ligi nyingine zinaendelea. Suka jamvi lako na ubashiri hapa. Italia SERIE A leo patashika nguo kuchanika Parma Calcio atamualika kwake Torino ambao wapo nafasi ya 11 na mwenyeji wake akiwa nafasi ya…

Read More

YANGA KAMILI KWA KARIAKOO DABI, KIPENGELE HAKUNA

MABOSI wa Yanga wamebainisha kuwa hakuna kipengele kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa leo Machi 8 2025, saa 1:15 Uwanja wa Mkapa. Uongozi wa Simba usiku wa kuamkia Machi 8 2025 walitoa taarifa kwamba hawatashiriki mchezo kutokana na kutopewa ruhusa ya kufanya mazoezi Uwanja wa Mkapa siku moja kabla ya mchezo. Wakati hayo…

Read More

TAMKO KUTOKA BODI YA LIGI SUALA LA KARIAKOO DABI

BAADA ya Simba kutoa taarifa kuwa wanagomea mechi kwa kuwa walizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkapa hivyo hawatacheza mchezo wa Machi 8 2025, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Steven Mguto amesema wanalifanyia kazi. Ikumbukwe kwamba mchezo wa leo ni mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza…

Read More