KWA ARAJIGA WAKIPATA PENATI HAWA HAPA WATAZIPIGA
BADO siku mbili Kariakoo Dabi ichezwa Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025 ambapo joto limezidi kupanda kwa kila pande kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ni Yanga ambao katika mzunguko wa kwanza walikomba pointi tatu mazima baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 0-1 Yanga hivyo mchezo wa mzunguko…