ABIGAIL CHAMS, HARMONIZE – ME TOO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Mkwaju mpya wa Abigal Chams na Harmonize wa “Me Too” umekuwa na mapokeo mazuri kwa wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, ukitabiriwa kufanya vizuri katika soko la kimataifa hata katika jukwaa la tuzo kubwa duniani za Grammy.

Wimbo huo umefanikiwa kufikisha watazamaji 485,000 kwa siku moja kupitia jukwaa la Youtube pekee.

Je, Ni kweli wimbo huo unauona shindani katika soko la kimataifa?.