
ALIYEKUWA KOCHA TAIFA STARS, ADEL AMROUCHE ATANGAZWA RWANDA
Aliyekuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars”, Adel Amrouche ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Rwanda “Amavubi”…. Sambamba na Taifa Stars, Amrouche amewahi kuzinoa Burundi,Kenya,USM Alger, Libya, MC Alger, Botswana na Yemen.