UWANJA wa Sheikh Amri Abeid, Machi Mosi 2025 kikosi cha Simba kimekuwa na mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha kwanza ikiwa ni mchezo mzunguko wa pili.
Hiki hapa kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza dhidi ya Coastal Union hiki hapa:-
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.