PAMBA JIJI WAMEPOTEZA MBELE YA YANGA
AZIZ Ki ambaye alianzia benchi kwenye mchezo dhidi ya Pamba Jiji, Uwanja wa CCM Kirumba amepachika mabao mawili kati ya matatu waliyonayo Yanga. Ubao umesoma Pamba Jiji 0-3 Yanga, Shadrack Boka alipachika bao la ufunguzi dakika ya 28 kwa pigo la faulo ni pointi tatu mali ya Yanga ambayo dakika 45 za mwanzo walikuwa wakishambuliwa…