Ni siku nyingine tena ya usiku wa mabingwa amabpo timu kubwa zitashuka dimbani kuchuana vikali kusaka nafasi za kusonga mbele kwenye michuano hii mikubwa Ulaya. Ushindi wa pesa nyingi upo Meridianbet.
Tukianza na Atalanta baada ya kupoteza ugenini leo hii watawaleta nyumbani kwao Club Brugge ya kule Ubelgiji. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 kwenye ligi huku mgeni wake akiwa 2. Vijana wa Gasperin ndio wanaopendelewa kushinda na Meridianbet kwa ODDS 1.53 kwa 6.00. Je wewe unamuamini nani akupe pesa leo?. Jisajili hapa.
SL Benfica atakuwa uso kwa uso dhidi ya AS Monaco ambapo mechi ya mwisho waliyokutana, Mreno aliondoka na faida ya bao 1 ugenini. Hivyo leo hii mgeni anataka kupindua meza ugenini. Je atauweza moto wa mwenyeji wake?. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.90 kwa 3.75. Beti hapa.
UEFA imekuja na mpunga mrefu leo. Suka jamvi lako na Meridianbet leo, lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
AC Milan baada ya kuchapika mechi yake iliyopita akiwa ugenini leo hii atakuwa pale San Siro kusaka ushindi wa kumvusha kwenda 16 bora dhidi ya Feyenoord ya kule Uholanzi ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 7.60 kwa 1.40. Je Milan wanaweza kupindua meza leo hii kwani mlima hata sio mrefu. Bashiri hapa.
Kwa upande wa FC Bayern Munich watamenyana dhidi ya Celtic ambao wanahitaji kupindua meza kwa mabao zaidi ya mawili. Mwenyeji alishinda ugenini hivyo leo anahitaji kuongeza zaidi mabao au kulinda haya ambayo anayo. 1.20 kwa 13 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.