KUKIWA na mpambano wa kusaka bingwa wa ligi namba nne kwa ubora Afrika, Yanga wameweka wazi kuwa wanatwaa taji hilo huku wakiweka wazi kuwa wasiojua mpira hawaamini katika matokeo huku kipa wao Djigui Diarra akiwa kwenye mwendo bora na atatwaa tuzo msimu utakapoisha