Leo hii una nafasi ya kubadilisha maisha yako ndani ya siku moja ukiwa na Meridianbet kwani mechi za Europa leo hii zitafkufanya ujiweke kwenye nafasi ya kujishindia Milioni 300 za Kitanzania zikitiki zote.
Meridianbet wametangaza fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya kubahatisha na mashabiki wa soka ambapo kwa mara ya kwanza, malipo makubwa ya hadi Milioni 300 yanapatikana kwa tiketi moja katika mchezo wa Europa League leo.
Hii ni nafasi ya kipekee kwa washiriki wa michezo ya kubahatisha kujishindia kiasi kikubwa cha pesa kutokana na matokeo ya mechi ya Europa League.
Kupitia tiketi moja tu, unaweza kubadilisha maisha yako na kushinda kiasi hiki kikubwa cha fedha. Mechi za Europa League leo zinatoa nafasi ya kushinda, na Meridianbet inakwambia hivi ingia kwenye akaunti yako ubashiri sasa.
Anza kutimiza malengo kwa kubashiri mechi ya Real Sociedad ya kule Hispania dhidi ya FC Midtjyland ya kule Denmark. Kila timu hii leo inahitaji pointi 3 za ushindi ili ijiweke vizuri kabla ya kukutana kwenye mechi za pili za mtoano. Mechi hii imepewa ODDS 3.95 kwa 2.05. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.
EUROPA LEAGUE kukupatia mkwanja leo. Suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Wakati Union Saint-Gilloise wao watakipiga dhidi ya Ajax ya kule Uholanzi ambao wapo nafasi ya 1 kwenye ligi yao huku kwa mwenyeji yeye yupo nafasi ya 3 kwenye ligi kule Ubelgiji. Nani kuondoka kifua mbele leo hii kwenye mchezo wa kwanza wa mtoano?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.35 kwa 3.10. Tandika jamvi hapa.
Vilevile AZ Alkmaar atamenyana dhidi ya Galatasaray Instanbul ambapo kila timu hii leo inataka pointi 3 za ushindi huku nafasi ya upendelea ya kushinda mechi hii ya leo akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.50 kwa 2.70. Mtanange wa mwisho kukutana walitoa sare ya kufungana. Je leo hii nani kuondoka kidedea plae Uholanzi?. Suka jamvi hapa.
Mechi kali hii hapa ya FC Porto vs AS Roma kutoka kule Italia ambao wanashika nafasi ya 9 huku mwenyeji yeye akishika nafasi ya 3 kwenye ligi yao. Mwenyeji anakipiga kule Ureno huku leo hii akitaka kuwafurahisha mashabiki zake akiwa nyumbani. Tengeneza jamvia mechi hii yenye ODDS 2.55 kwa 2.90.
Paok yeye atakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya FCSB, ambapo mwenyeji mechi ya kwanza walipoonana alipigika. Leo hii anataka ushindi ili alipe kisasi akiwa nyumbani. 1.78 kwa 4.70 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
FC Twente wataumana dhidi ya Bodoe/Glimt huku nafasi ya kupiga mkwanja mrefu ukiwa nayo ndani ya Meridianbet. Meridianbet kwenye mechi hii wameweka ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 hivyo ni rahisi sana wewe kuchukua mpunga wa maana leo. 2.06 kwa 3.50 ndio odds zao. Bashiri hapa.