ITAKUA AIBU KUFUNGWA NA YANGA KWENYE UWANJA WETU

Kikosi cha KMC FC kinajiandaa kwa mtanange mkali dhidi ya Young Africans SC (Yanga) kwenye dimba la KMC Complex, huku msemaji wa timu hiyo, Khalid Chukuchuku, akisisitiza kuwa lazima watetee uwanja wao kwa gharama yoyote. Kwa mujibu wa Chukuchuku, itakuwa aibu kubwa kwao kufungwa nyumbani na Yanga, ambao watakuwa wageni katika mchezo huo utakaopigwa kesho,…

Read More

JKT TANZANIA WAPIGWA NA SINGIDA BLACK STARS NYUMBANI

Jonathan Sowah amefunga bao lake la pili la msimu kwenye mechi yake ya pili kwenye Ligi Kuu bara akiiandikia Singida Black Stars bao la ushindi katika Dimba la Meja Jenerali Isamuyo dhidi Maafande wa JKT Tanzania ambao waliikazia Yanga Sc kwenye mchezo uliopita na kuondoka na alama moja kwenye dimba hilo. Singida Black Stars wanaendelea…

Read More

YANGA YAZIPIGIA HESABU TATU ZA KMC

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya KMC dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex benchi la ufundi la Yanga limebainisha kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Februari 14 2025. Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema kuwa wamejeandaa kiakili ili kuhakikisha kwamba wanapata…

Read More

KIPA WA SIMBA AMEWEKA UFALME WAKE

KIPA namba moja wa Simba, inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids amejenga ufalme wake kwa makipa ambao wana hati safi nyingi ndani ya ligi yeye ni kinara, Mousa Camara ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Kipa huyo ni mechi 18 kacheza akikomba dakika 1,620 akiwa ni miongoni mwa wachezaji waliokomba dakika nyingi…

Read More

CANDY’S BONANZA INAMWAGA MKWANJA

Kampuni ya Meridianbet wakishirikiana na Expanse watengenezaji wa michezo ya kasino wameongeza wigo au nafasi ya wapenzi wa michezo ya kasino kupiga mkwanja, Kwani wamekujia na Sloti mpya inayofahamika kama Candy’s Bonanza. Candy’s Bonanza ni mchezo mpya wa kasino ambao utakuepeleka kwenye ulimwengu wa kipekee kabisa tofauti na michezo mingine ya Sloti ambayo umekua ukicheza…

Read More

CHAMA KWENYE MTIHANI YANGA, KAZI IPO

CLATOUS Chama ndani ya kikosi cha Yanga yupo kwenye mtihani wa kupambania namba kikosi cha kwanza kwa kuwa kwa sasa hajawa  chaguo la kwanza msimu wa 2024/25 baada ya kuibuka hapo akitokea kikosi cha Simba. Ipo wazi kwamba alipokuwa ndani ya kikosi cha Simba Chama alikuwa ni chaguo la kwanza kwenye eneo la kiungo tofauti…

Read More