
WIKENDI YAKO UNAIMALIZAJE? TUSUA KIJANJA NA MECHI ZA LEO
Utamu wa kubashiri na Meridianbet ni kushinda na kama bado hujashinda nafasi ndiyo hiyo unayo leo. Unasubiri nini?. Napoli, Spurs, Lyon wote wapo dimbani kukupatia pesa. SERIE A kule Italia kuendelea leo ambapo Lazio atamenyana vikali na AC Monza ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa wakiwa wameshinda mechi 2 pekee kati ya 23 ambazo…