
AZAM FC YAMALIZANA NA KMC KISHUJAA ZAIDI
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamemalizana na KMC ndani ya msimu wa 2024/25 kwa kukomba pointi zote sita mazima. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Azam FC walipata ushindi wa mabao 4-0 Uwanja wa KMC Complex na bao la kwanza ndani ya Azam FC kwenye ligi likifungwa na Idd Nado akitumia pasi ya Fei Toto….