SIMBA WATANGAZA TENDA YA MTENGENEZA JEZI MWINGINE

Klabu ya Simba imetangaza tenda ya kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya kuzalisha na kusambaza jezi na bidhaa nyingine za klabu hiyo baada ya kufanya kazi na Sandaland Only one kwa kipindi kifupi, nafasi aliyoichukua kutoka kwa Fred Vunja bei.

CALL FOR APPLICATION:

Simba Sports Club (“the Club”) is looking for a qualified, experienced and competent firm to undertake the supply and distribution of sporting kits and other merchandise for Simba sports club for the 2025/2026 season on its behalf.

The scope of work (SOw) will include designing, producing and distributing sporting kits and other merchandise on behalf of the club.