ATEBA NA KAPOMBE WANA JAMBO LAO

LEONEL Ateba mshambuliaji wa Simba amejenga ushikaji mkubwa na mwamba Shomari Kapombe kwenye anga la kimataifa kutokana na kutumia kwa umakini pasi ambazo zinatoka kwenye miguu ya mwamba huyo. Ipo wazi kwamba Simba katika anga la kimataifa baada ya kucheza mechi sita kwenye hatua ya makundi ni mabao 8 safu ya ushambuliaji imefunga kinara wa…

Read More

YANGA KAMILI GADO KUWAKABILI KAGERA SUGAR

WALTER Harrison, Meneja wa Yanga amesema kuwa maandalizi kuelekea mchezo wao wa Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex yapo tayari na wanaendelea kufanya kwa umakini mkubwa. Huo utakuwa ni mchezo wa pili kwa wababe hawa kukutana ndani ya ligi kwa kuwa katika mzunguko wa kwanza kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba baada ya…

Read More

SIMBA YAIPIGIA HESABU HIZI TABORA UNITED

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Awesu Awesu amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Tabora United utakuwa na ushindani mkubwa lakini watacheza kama fainali kupata ushindi. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids baada ya kucheza mechi 15 za ligi ni pointi 40 kimekusanya kibindoni huku kikipoteza mchezo mmoja ilikuwa dhidi ya Yanga uliochezwa…

Read More