MSAADA WA MASHUKA WATOLEWA ZAHANATI YA ALIMAUA

Kampuni ya Meridianbet, kwa mara nyingine tena, imeonyesha dhamira yake ya kusaidia jamii kupitia mchango mkubwa kwa Zahanati ya Alimaua ambapo safari hii  kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mashuka kwa zahanati hiyo, kama sehemu ya juhudi za kuboresha huduma za afya na mazingira ya kutolea huduma kwa wananchi wa eneo la Alimaua. Akizungumza wakati wa…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO HII HAPA

BURUDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inadhaminiwa na NBC inarejea kwa mara nyingine tena baada ya muda kidogo kusimama kutokana na ratiba ya Mapinduzi Cup na Fainali za Mataifa ya Afrika, kwa wachezaji wa Ndani, (CHAN) ambapo Tanzania ni wenyeji. Hapo awali ilitarajiwa kuwa ingerejea Machi Mosi na mechi za mwisho ilikuwa ni Desemba…

Read More

AZIZ KI KWENYE HESABU ZA WYDAD

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki anatajwa kuwa kwenye rada ya Klabu ya Wydad Casablanca ambayo inahitaji saini yake.   Ki msimu wa 2023/24 mezani alikuwa na ofa zaidi ya mbili kutokana na kiwango ambacho alionyesha akiwa Yanga na mwisho alisaini dili jipya kuendelea kuwa ndani ya Yanga.   Ikiwa Wydad Casablanca watakakuwa wanahitaji saini…

Read More

SIMBA YAIVUTIA KASI TABORA UNITED

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kupata matokeo mazuri dhidi ya Tabora United mchezo wao wa Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC. Ipo wazi kuwa Tabora United kwenye mechi zake zilizopita dhidi ya timu ambazo zipo ndani ya tatu bora ilipata matokeo kwa kukomba pointi tatu mazima ilikuwa dhidi ya…

Read More

PACOME MTAMBO WA KAZI KWENYE HESABU ZA MNYAMA

MWAMBA mwenye kucheza na kutoa maelekezo ndani ya kikosi cha Yanga, Pacome Zouzoah ni pasua kichwa kutokana na uwezo wake kwenye kupiga pasi ndefu na fupi akiwa uwanjani. Nyota huyo kwenye dirisha dogo ilikuwa inatajwa kuwa yupo kwenye rada za mabosi wa Simba kwa kuwa mkataba wake unagota mwisho inaelezwa kuwa mabosi wa Yanga walifanya…

Read More