CAF YAONGEZA MKATABA WA MIAKA 3 NA TOTAL ENERQIES

Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limeongeza kandarasi ya miaka mitatu [3] na mdhamini wake mkuu kampuni ya mafuta ya Total Energies utakaotamatika rasmi mwaka 2028.

Kampuni ya Total Energies imekuwa ikidhamini michuano mbalimbali ambayo ipo chini ya CAF ikiwemo Ligi ya mabingwa Afrika, kombe la Shirikisho na pamoja na AFCON.