CAF YAONGEZA MKATABA WA MIAKA 3 NA TOTAL ENERQIES

Shirikisho la soka Barani Afrika CAF limeongeza kandarasi ya miaka mitatu [3] na mdhamini wake mkuu kampuni ya mafuta ya Total Energies utakaotamatika rasmi mwaka 2028. Kampuni ya Total Energies imekuwa ikidhamini michuano mbalimbali ambayo ipo chini ya CAF ikiwemo Ligi ya mabingwa Afrika, kombe la Shirikisho na pamoja na AFCON.

Read More

WAKIPEWA PENATI HAWA JAMAA NI KAMBA

KUNA mastaa ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids wakipewa majukumu ya kupiga penati asilimia 100 wamekuwa wakiwapa tabu makipa kwa kufunga kwenye mchezo husika iwe kitaifa ama kimataifa. Simba kwenye penati ambazo wamepata kwa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja hakuna ambayo wamekosa miongoni mwa waliyofunga ni katika anga la…

Read More

HAYA MAKUNDI SITA YA AFCON, TANZANIA KUNDI C

JANUARI 27 2025 nchini Morocco ilichezwa droo kwa ajili ya makundi ya Afcon 2025 ambapo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars nayo imo na imepangwa kundi C. Haya hapa makundi:- Kundi “A” Morocco, Comoro, Zambia na Mali Kundi “B” Misri, Afrika Kusini, Angola na Zimbabwe, Angola Kundi “C” Tunisia, Nigeria, Uganda na Tanzania Kundi…

Read More