JESHI LA YANGA DHIDI YA COPCO CRDB FEDERATION CUP

KATIKA kikosi cha Yanga dhidi ya Copco ikiwa ni hatua ya raundi ya tatu kiungo wa kazi Sure Boy ameanza kikosi cha kwanza kusaka ushindi kwenye mchezo wa leo Januari 25 2025.

Kikosi kamili kipo namna hii:-Aboutwalib Mshery, Israel Mwenda, Kibabage, Bakari Nondo, Jonas Mkude, Sure Boy. Farid Musa, Duke Abuya, Aziz Ki, Shekhan Khamis.

Kwa wachezaji wa akiba ni:-Aweso, Kibwana, Job, Andambilwe, Mudathir, Muya, John na Maxi Nzengeli Kocha Mkuu anaitwa Sead Ramovic.

Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hili hivyo wapo kwenye kibarua cha kutetea taji lao.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.