CONGO BRAZZAVILLE YAONDOLEWA CHAN
Congo Brazzaville imeondolewa kushiriki michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. Michuano hiyo itafanyikia nchini Kenya, Uganda na Tanzania katika tarehe ambazo bado hazijawekwa wazi. Congo Brazaville waliokuwa Kundi D pamoja na Nigeria, Sudan na Senegal wnafasi yao imechukuliwa na Equatorial Guinea. Kutolewa kwao kunafuatia madai kwamba walimchezesha mchezaji…