TIMIZA NDOTO ZAKO MAPEMA LEO, MECHI KIBAO ‘KITAWAKA’ SOMA HAPA
Mechi kali leo hii zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Tukianza na Uturuki SUPER LIG kuna mtanange wa kukata na shoka leo ambapo Trabzonspor watakiwasha dhidi ya Sivasspor ambao wapo nafasi ya 15 huku mwenyeji…