YANGA WAGAWANA POINTI MOJA KIMATAIFA, GUSA ACHIA YAKWAMA
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya MC Alger umegota mwisho huku mpango kazi wa Gusa achia twende robo fainali kwa Yanga ukikwama kwa wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa katika anga la kimataifa. Yanga katika mchezo wa leo ilikuwa inahitajika kupata ushindi baada ya dakika 90 ubao Yanga 0-0…