Klabu ya Yanga Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Winga Jonathan Ikangalombo raia wa Congo DR
Ikangalombo amejiunga na Yanga akitokea As Vita na anamudu kucheza Winga na Mshambuliaji wa kati.