KWENYE anga la kimataifa beki wa kazi Che Malone hakuwa na mwendo mzuri katika mashindano hayo ambapo alikuwa akitoa pasi mkaa ukiwa ni mwendelezo wake na bado alikuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza. Beki huyo ameomba radhi muda mfupi baada ya kutoa pasi mkaa kwenye mchezo dhidi ya Bravos, dakika ya 13.