SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba Sc kuingiza mashabiki kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine Jumapili hii Januari 19, 2025.
Hii ni kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mchezo dhid ya SC Sfaxien ya Tunisia uliopigwa Desemba 2024 hvyo mechi dhid ya SC Constantine itachezwa bila mashabiki katika dimba la Benjamin Mkapa.