KILIMANJARO STARS YAAGA MASHINDANO YA KOMBE LA MAPINDUZI

Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni ni kipigo cha pili mfululizo baada ya kuanza kwa kipigo cha 1-0 dhidi ya Zanzibar Heroes.

Hata hivyo Kilimanjaro Stars licha ya shughuli Yao kuishika hapa bado wana mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba, dhidi ya Burkina Faso.

FT: TANZANIA 🇹🇿 0-2 🇰🇪 KENYA
⚽ 56’ Boniface Muchiri
⚽ 68’ Ryan Ogam