MATAJIRI WA DAR WAMEANZA KAZI 2025
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamerejea mazoezini ndani ya mwaka mpya 2025 kuendeleza ushindani katika mechi zijazo kutoka Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba sita kwa ubora Afrika. Mchezo wa funga kazi 2024 kwa Azam FC ilikuwa dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilikuwa Desemba 27 2024 na baada ya dakika…