SIMBA Sc imechukua pointi tatu ugenini na kukwea kileleni mwa msimamo wa Kundi A la kombe la Shirikisho Afrika CAFCC huku CS Sfaxien wakiondolewa rasmi kwenye kinyangโanyiro cha kwenda robo fainali.
CS Sfaxien ๐น๐ณ 0-1 ๐น๐ฟ Simba
โฝ 34โ Ahoua
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐: CAFCC
ASC Jaraaf ๐ธ๐ณ 0-0 ๐ง๐ผ Orapa United
Stellenbosch ๐ฟ๐ฆ 2-0 ๐ฆ๐ด CD Lunda Sul
Enyimba ๐ณ๐ฌ 4-1 ๐ฒ๐ฟ Associacao Black Bulls
Al Masry ๐ช๐ฌ 0-0 ๐ช๐ฌ Zamalek
ASEC Mimosas ๐จ๐ฎ 1-1 ๐ฉ๐ฟ USM Alger