SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA WAJEDA JKT TANZANIA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita Simba ilikuwa ugenini ilivuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa bao la Babacarr Sarr dakika ya 81 kwenye mchezo huo akitumia pasi…

Read More

KIPA WA KAZI AREJEA YANGA

KIPA wa kazi ndani ya Yanga Djigui Diarra amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu mengine ya timu ya taifa. Tayari Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga yupo kambini na kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa lake la Mali iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa…

Read More

TABORA UNITED YAINGIA CHIMBO KUIWINDA AZAM FC

WAKALI kutoka Tabora, kikosi cha  cha  Tabora United  kimeanza maandalizi kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara ambapo mchezo wao ujao itakuwa dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februali 19 2024 katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mjini Tabora. Kikosi hicho cha nyuki wa Tabora kimeanza…

Read More

GEITA GOLD YAPOTEZA MBELE YA SIMBA

KWENYE mechi mbili mfululizo Uwanja wa CCM Kirumba, Simba inaambulia pointi dakika za lala salama katikà mchezo wa Ligi Kuu Bara. Walianza Februari 9 ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC, bao lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 90 Simba wakakomba pointi moja. Februari 12 ubao umesoma Geita Gold 0-1 Simba bao likifungwa na Babacar Sarr…

Read More

MBEBA MIKOBA YA AZIZ KI NOMA SANA

MTAMBO wa mabao ndani ya Ligi Kuu Bara, Aziz KI hajawa kwenye kikosi hicho katika mechi tatu mfululizo ambazo ni dakika 270 huku majukumu yake ya mapigo huru yakiwa kwenye miguu ya Pacome Zouzoa ambaye alikuwa na balaa. Sababu kubwa ya Aziz  mwenye mabao 10 na pasi mbili za mabao kutokuwa kwenye mechi hizo alikuwa…

Read More

UKIWA NA MERIDIANBET UNAKOSAJE MPUNGA?

Mechi mbalimbali kupigwa huku timu hizo kugombea pointi tatu leo. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye mechi hizo?. Ingia meridianbet sasa na uanze kusuka mkeka wako, Leo Simba, Chelsea, Juventus uwanjani. Sasa unakosaje pesa hapo?. Pale Italia, SERIE A leo hii vijana wa Allegri Juventus watazipiga dhidi ya Udinese Calcio katika dimba la Allianz…

Read More