>

YANGA YAPETA SPORTPESA DABI

YANGA wanaondoka na faida ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ni kwenye SportPesa Dabi Yanga wameibuka wababe kwa kukomba pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo baada ya dakika 90. Joseph Guede ameandika rekodi ya kufunga mabao mawili dakika ya 41 na dakika ya…

Read More

KAKOLANYA ATOROKA KAMBINI SINGIDA FOUNTAIN GATE

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umebainisha kwamba kipa wao namba moja Beno Kakolanya ametoroka kambini. Taarifa iliyotolewa na Singida Fountain Gate inayoshiriki Ligi Kuu Bara imebainisha kuwa kipa huyo ametoroka muda mfupi wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. “Klabu ya Singida Fountain Gate inasikitishwa na kitendo cha mchezaji wetu…

Read More

SIMBA NGOMA NGUMU MBELE YA IHEFU

NGOMA imekuwa ngumu kwa Simba kuambulia pointi tatu kama ilivyo kwa Ihefu ambao nao wamekwama kubaki na ushindi wakiwa nyumbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti umesoma Ihefu 1-1 Simba ambapo waligawana vipindi kile cha kwanza ilikuwa ni mali ya Ihefu na kipindi cha pili Simba….

Read More

Tandika Jamvi Lako na Meridianbet Leo

Jumamosi hii ya leo mechi mbalimbali kupigwa yani namaanisha viwanja mbalimbali leo hii vitashuhudia mitanange ya hatari. Na wewe una nafasi ya kukusanya maokoto ukbashiri na meridianbet. Tengeneza mkeka wako wa maana leo ujishindie mkwanja safi. Pale LALIGA mapema kabisa ya saa 9:00, Atletico Madrid dhidi ya Girona ambapo timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa…

Read More

SIMBA YAANDIKA REKODI HII TATU BORA

KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha imeandika rekodi yake ndani ya tatu bora kwa kuwa timu iliyoruhusu mabao mengi yakufungwa. Ipo wazi kuwa Simba inatarajiwa kutupa kete yake nyingine leo Aprili 13 dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti, Singida. Wachezaji wa Simba wanaonekana kutokuwa imara…

Read More

CHEKI RATIBA YA LIGI LEO

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Aprili 13 2024 inaendelea kwa timu kusaka pointi tatu ndani ya uwanja baada ya dakika 90. Wababe Geita Gold watakuwa nyumbani Uwanja wa Nyankumbu kusaka pointi dhidi ya Mtibwa Sugar ambao nao wanazihitaji pia pointi tatu. Ihefu watawakaribisha Simba, Uwanja wa Liti kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Tabora United…

Read More

YANGA YAFUNGIWA NA FIFA KUFANYA USAJILI

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetoa taarifa kuwa Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA). Taarifa hiyo imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya timu hiyo kukiuka Annexe 3 ya kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji, (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala mengine Yanga…

Read More

BOSI SIMBA: MATOKEO YANAUMIZA KWELIKWELI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa matokeo ambayo wanayapata yanaumiza kwelikweli kwa kuwa ni mabaya ndani ya muda mfupi. Ipo wazi kwamba Aprili 6 2024 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali baada ya dakika 90 ubao ulisoma Al Ahly 2-0 Simba. Kwenye mechi mbili za kimataifa Simba imefungwa mabao matatu huku…

Read More

SPORTPESA DABI MLANGONI, RATIBA HII HAPA

KAZI bado inaendelea ndani ya uwanja kwa kila timu kusaka pointi tatu baada ya dakika 90. Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili unaendelea kwa kila timu kupambania kufikia malengo ya kupata pointi tatu. Ijumaa ya Aprili 12 kuna mechi ambazo zinatarajiwa kuchezwa ni Tanzania Prisons v KMC huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…

Read More